Huyu ndiye mtu aliyejivisha kama Rambo na kufanya mauaji ya maafisa watatu wa polisi.

rambo
Wahalifu kila siku wanakuja na mbinu mpya ambapo Polisi nchini Canada wanamsaka mtu hatari mwenye silaha ambaye amevaa mavazi kama ya muigizaji wa filamu za mapigano Rambo. Mtu huyo amewaua kwa kuwapiga risasi maafisa watatu wa polisi na kujeruhi wengine wawili katika tukio hilo la pamoja.
Mashambulizi hayo ya risasi yamefanyika wakati polisi walilipokea simu juu ya mtu aliyekuwa na silaha Kaskazini mwa mji wa Moncton katika Jimbo la Pwani ya Mashariki ya New Brunswick.

Post a Comment

أحدث أقدم