
Olita alikuwa ametoka kwenye mazishi ya mama yake mzazi jumamosi kabla ya kifo kumgeukia yeye. Mwili wa Olita umepekwa hospitali ya ‘Bama’ kwenye mortuary ili kusubiria mipango ya mazishi. Olita ameacha mke, watoto na wajukuu.
Joseph Olita alizaliwa 1944 na alikuwa maarufu sana baada ya kuigiza filamu ya dictator wa Uganda ‘Iddi Amin Dada’ katika filamu maarufu sana “Rise and Fall of Iddi Amin” iliyotoka mnamo mwaka 1981. Kwenye filamu ya ‘Mississipi Masala’ mwaka 1991 na filamu nyingine kama “Sheena” na nyinginezo nyingi.


إرسال تعليق