
Wanawake wanne raia wa Rwanda wametiwa mbaroni
mjini Dodoma kutokana na kuingia nchini kinyemela na kujihusisha na biashara ya
ukahaba.
Watuhumiwa watatu kati ya hao,
Saidat Umotoni (28), Asha Abimana (25)
na Asia Umotoni Wase (30), hii ni mara
yao ya pili kukamatwa mjini hapa wakidaiwa kujihusisha na biashara hiyo.
Mara ya kwanza ilikuwa Novemba mwaka jana ambapo wote ( Asia, Asha na Saidat) baada ya kukamatwa,
walirudishwa kwao baada ya kulipa faini.
Akizungumza na waandishi wa habari jana Kaimu Ofisa Uhamiaji Mkoa wa
Dodoma, Proches Kuoko, alimtaja mwingine
aliyekamatwa ni SOMA ZAIDI HAPA
إرسال تعليق