| Hatimaye Bw Harusi Joshua Nassari anateremka katika usafiri wake aina ya Range Rover muda mfupi baada ya kufika katika viwanja vya kanisala la Kilinga maarufu kama kwa Mchungaji Babu. | 
| Wageni mbalimbali walihudhuria ibada hiyo ya ndoa mmoja wapo ni huyu ,Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Job Ndugai(katikati) | 
| Bibi Harusi Anande Nnko alikuwa ni mwenye furaha kila wakati ,"Full Tabasamu." | 
| Wenyeji katika shughuli hiyo akiwemo mzee Samweli Nassari ,baba mzazi wa Jishu walikuwa wamevalia mavazi nadhifu aina ya suti wakingojea ugeni uliokuwa ukiwasili katika kanisa la Kilinga. | 
| Hataimaye Bw Harusi Joshua Nassari akaingia kanisani yeye na wapambe wake na hapa anaye ngojewa ni Bibi Harusi Anande Nko. | 
| Bi Harusi Anande Nko akashuka katika gari alilokuja nalo aina ya Land Cruser VX. | 
| Bwaa Harusi Joshua Nassari akamvisha pete mkewe Anande Nnko. | 
| Bibi Harusi Anande Nnko akamvisha pete mumewe Joshua Nassari | 
| Kisha Maharusi wakapongezana. | 
| Maharusi wa wakawekewa mikono na Maskofu wakiongozwa na Askofu mkuu wa kanisa la Pentekoste Tanzania (PCT) David Batenzi. | 
| Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada hiyo (hawapo pichani) | 
| Maharusi wakionesha pete zao za ndoa muda mfupi baada ya kuvishana. | 
| Uthibitsho wa ndoa ni vyeti vya ndoa ,na hapa maharusi wakitia saini katika vyeti vyao. | 
| Wagebi mbalimbali walihudhuria ibada hiyo ,na hapa ni mbunge wa Viti maalum Lucy Owenya (wa kwanza) | 
| "Mmetuona "ni kama ndio maneno yaliyokuwa vichwani mwao maharusi ,Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa vyeti vyao vya ndoa. | 
| Gavana wa kwanza wa Tanzania Mzee Edwin Mtei na Mama Mtei pia walikuwa katika inada hiyo. | 
| Wazazi wa Maharusi ,Joshua Nassari na Bi Anande Nnko. | 
| Bw na Bi Joshua Nassari na wakiweka Sadaka zao katika kapu la sadaka. | 
| Maharusi ,wakapata nafasi ya kusalimiana na Mzee Edwin Mtei. | 
| Ibada ya ndoa ikawa imefika tamati na maharusi wakatoka kanisani tayari kwa msafara wa magari kuelekea uwanjani. | 
Na Dixon Busagaga wa globu ya jamii
kanda ya kaskazini.
إرسال تعليق