Mganga mkuu wa mkoa wa Morogoro DKT Godfrey Mtei akilia kwa uchungu!
Mwili wa marehemu ukipelekwa jukwa kuu
Mkuu wa Mkoa Joel Bendera[mwenye suti] akiwasili Uwanja wa Jamhuri
Bibi Asha Abdallah ambaye ni bibi wa mtoto Nasra akihojiwa na waandishi wa habari Uwanjani hapo
Baada ya kupigwa maswali magumu na waandishi hao Bibi huyo alishwa na kujibu na kuangua kilio
Nasoro
Mahamba ambaye anazaliwa tumbo moja na Nasra kwa mara ya kwanza
ameibuka Uwanja wa Jamhuri Kuaga mwili wa mdogo wake,lnadai Nasoro baada
ya mateso aliyoyapata kutoka kwa mama yake mkubwa aliamu kutoroka na
kwenda kumtafuta baba yake ambaye alifanikiwa kumuona maeneo ya Kihonda
anakoishia kwa sasa.Marehmu Nasra alishwa kuwakimbia mateso hayo kama
alivyofanya kaka yake kufuati umri wake kuwa mdogo.
Nasoro akihojiwa na Mtandao huu
Nasoro akipokea shilingi elfu kumi kutoka kwa mmoja wa wasamilia wema
Mkuu wa mkoa Joel Bendera akimsalimia bibi wa marehemu Nasra
Jeneza la Nasra likiwa mbele ya viongozi wa serikali na dini
Askari
wa dawati la Jinsia na maafisa wa Ustawi wa Jamii ambao ndio waliobeba
jukumu la kumzika Nasra wakishuka kwenye gari na mwili wa marehmu
Bi,Amina Kingalu anayefanya kazi ya Omba Omba barabra ya madaraka akishiriki zoezi la kuaga mwili wa Nasra
Bi
Josephine Joel [kushoto] ambaye alijitolea kumuuguza Nasra baada ya
ndugu wa mtoto huyo kuingia mitini akiwa na bibi wa damu wa Nasra Asha
Abdallah
Mkuu wa mkoa akizungumza na umati huo
Mbunge
wa jimbo la Morogoro Mjini ambaye alilazimika kuacha vikao vya bunge
kuja jimboni mwake kushirki zoezi la kuaga mwili wa Nasra akizungumza
kwenye hafra hiyo
Sheikh
wa Msikiti Mkuu wa Manispaa ya Morogoro Ally Omar akisoma dua la
kumuombe marehmu,kwa sheria ya dini ya kiislam hakuna kipindele cha
kuaga mwili wa marehmu hivyo Sheikh huyo aliwataka watu wa dini zote
kusimama na kufuatila dua hilo na kwamba baada ya kukamilika kwa dua
mwili ulipelekwa Msikiti mkuu kwa sara na baadae kuzikwa makaburi ya
Kolla
Katika
hali ya kuhudhunisha Mganga mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt Godfrey Mtei
aliangua kilio wakati wasifu wa Nasra uliposomwa, kulia kwa Dkt mtei ni
baba mzazi wa Nasra Rashid Mvungi,Afisa Ustawi wa Jamii mkoa wa
Moro,Oswad Ngugamtitu,mkuu wa Mkoa Joel Bendara na Sheikh Ally Omar
anayeonekana kwa mbali ni mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Morogoro Mjini
Fikiri Juma
Baba wa Nasra akipokea Duwa
Viongozi wa serikali,siana na dini pamoja na mzazi wa marehmu Nasra
Ama
kwa hakika kama kuna mtu anastahili pongezi ni huyu mwenyekiti wa
serikali ya mtaa wa Azimio Bi,Tatu Mgagalana ambaye baada ya kupokea
taarifa za mateso ya Nasra aliyekuwa akishi mtaani kwake aliwaamulu
wananchi wake kuvamia nyumba na Bi,Mariam na kumfichua Nasra aliyekuwa
ndani ya boksi kwa miaka mitatu.
Post a Comment