
MSANII nguli katika soko la filamu Bongo, Lucy Francis Komba amefunguka kuwa yeye ni zao mojawapo la hayati George Otieno Okumu ‘Tyson’.

nitazidi kumuombea ili Mungu aipumzishe roho yake mahali pema peponi,” alisema Lucy.
Tyson aliyefariki kwa ajali ya gari wiki moja iliyopita mkoani Morogoro na kusafirishwa nyumbani kwao Kenya, anatarajiwa kuzikwa Jumamosi hii huko Kisumu.
إرسال تعليق