MKUU WA MKOA MBEYA ABBAS KANDORO AZINDUA HOTEL YA KISASA JIJINI MBEYA

PAZD HOTEL MBEYA

Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua hotel ya Padz Hotel jijini Mbeya kushoto ni mkurugenzi wa Padz Hotel Patric D. Zambi



Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi wa hoteli hiyo



Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akiweka saini kitabu cha wageni kulia ni mkurugenzi wa hoteli hiyo Patric D. Zambi


PAZD HOTEL MBEYA

Post a Comment

Previous Post Next Post