![]() |
| PAZD HOTEL MBEYA |
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akikata utepe kuzindua hotel ya Padz Hotel jijini Mbeya kushoto ni mkurugenzi wa Padz Hotel Patric D. Zambi |
| Baadhi ya wageni waalikwa wakishuhudia uzinduzi wa hoteli hiyo |
| Mkuu wa mkoa Mbeya Abbas Kandoro akiweka saini kitabu cha wageni kulia ni mkurugenzi wa hoteli hiyo Patric D. Zambi |
![]() |
| PAZD HOTEL MBEYA |


إرسال تعليق