Kilichosemwa na mmiliki wa nyumba aliyetoka Nyoka Arusha.
Mchana
wa June 05 kupitia mitandao mbalimbali ya kijamii zilisambaa taarifa
ambazo zilikua zikimhusu mmiliki wa mojawapo ya nyumba maeneo ya Sakina
jijini Arusha kuhusu kufuga nyoka ambaye alihusishwa na imani za
kishirikina.
Wananchi walimuua nyoka huyo na kisha kumkata kata vipande,leo tumepata xclusive interview na mmiliki wa nyumba hiyo ambaye kakubali kuelezea kila kitu anachokijua kuhusu nyoka huyo.
Huyu anaitwa Mr.Joseph Paschal Magesa ambaye anaanza kwa
kusema>>Mimi kama mimi kwanza ni mkristo safi na___ SOMA ZAIDI KWA KUBOFYA HAPA.
إرسال تعليق