New Track:- NEYLEE FEAT. LINAH & MADEE- KINYONGA

 

Msanii wa kike mwenye utofauti katika utunzi hadi uimbaji wake Neema Agrey aka Neylee, baada ya ku-hit na ngoma zake kama ‘Nipe Muda’, ‘Ni Kweli’ kwa sasa Neylee ameachia ngoma mpya inafahamika kwa jina la ‘Kinyonga’ akishirikiana na Linah na Madee, wimbo umefanyika studio ya Plexcity Records chini ya producer Zest.

\Enjoy good music kutoka kwa Neylee

Post a Comment

Previous Post Next Post