RAY J, akamatwa kwa kushika Maungo ya Mwanadada bila matakwa.

Ray j
Mwimbaji wa Marekani ‘Ray J’ ambae ni msogo wa muimbaji na muigizaji ‘Brandy Norwood’ amekamatwa na polisi mjini ‘Beverly Hills’ kwa tuhuma za kuzozana katika baa ya hoteli ya ‘Beverly Wilshire’ nchini Marekani, msanii huyo alikamatwa na polisi jana baada ya kuzua ugomvi katika baa hiyo. Polisi wa Beverly Hills waliitwa baada ya kutokea malalamiko kuwa msanii huyo alimshika sehemu isiyotakiwa na kumdhalilisha mwanamke mmoja bila idhini yake kiasi cha mpaka kupigiwa simu polisi.

Wakati akitoka nje ya hoteli hiyo inadaiwa alipandwa na hasira na kugoma kuondoka. Mtafaruku huo ulizidi kuwa mkubwa na polisi akalazimika kumpiga pingu.
kimye-ray-j
Inadaiwa Ray J alipiga teke kioo cha gari na  Soma Zaidi Hapa

Post a Comment

أحدث أقدم