
Mwanadada Vanessa Mdee siku ya Ijumaa tarehe 13 anatarajia kuachia pini jingine alilolipa jina la HAWA JUI, Vanessa amesema wimbo huo umetengenezwa na Produced mkali kutoka Bongo anaitwa NAHREEL. Mashabiki wa Vanessa mkae mkao wa kupata ladha nyingine mpya kabisa.
إرسال تعليق