Young Killer afunga ndoa, kwenye kava la single mpya ‘Umebadilika’

Ukimuuliza Young Killer utaoa lini? Huenda akawa na jibu tofauti kidogo na lile la Mwana FA. At least July 22 atakapoachia single yake mpya ‘Umebadilika aliyomshirikisha Banana Zorro, anaweza kukujibu ‘bado nipo nipo kidogo’. Kama lilivyo jina la single yake, yeye mwenyewe amebadilika pia kwakuwa ameamua kurekodi wimbo wake na producer Man Walter ambaye hajazoeleka sana kwa nyimbo za hip hop.
10537938_666604470092378_1940213956_n Kava la single mpya ya Young Killer
10554168_1456317407967676_445208554_n

Post a Comment

أحدث أقدم