
Pichani
ni mabasi mawili ya Simba Mtoto na Dar Express yakiwa yamegongana uso
kwa uso maeneo ya Muheza Mkoani Tanga mchana huu.haijafahamika ni abiria
wangapi wamedhulika kwenye ajali hii.Chanzo cha ajali pia bado
hakijafahamika na Globu ya Jamii inaendelea na juhudi za kumpata Kamanda
wa Polisi Mkoa wa Tanga kwa taarifa zaidi.hivyo tuendelee kuvuta
subira.
إرسال تعليق