BREAKING NEWS:- AJALI NYINGINE MBAYA YATOKEA TENA GAIRO, WATU WENGI WAMEFARIKI - PICHA



Basi la kampuni ya Airbus lililokuwa likitoka Dar es Salaam leo kuelekea Tabora limepinduka katika maeneo ya maeneo ya Kiegeya Gairo.
1410170779158 Shughuli za uokozi zikiendelea muda mfupi uliopita

Haijulikani idadi kamili ya watu waliopoteza maisha lakini ni wengi na wengine wamejeruhiwa vibaya sana.
“Picha hazifai kuonwa na mimi niko eneo la tukio kwa ajili ya uokozi..viongozi mbali mbali wa serikali tunao hapa..kwakweli ni majonzi vilio nk,” ameandika shuhudu mmoja.

Chanzo cha ajali hiyo hakijajulikana mara moja
bas3 Baadhi ya mili ya watu waliopoteza maisha kwenye ajali hiyo

ajali tabora 4
ajali tabora 1
Ajali hiyo imetokea siku chache tu baada ya ajali nyingine ya mabasi mawili iliyotokea Musoma na kusababisha vifo vya zaidi ya watu 35.

Post a Comment

أحدث أقدم