Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akisalimiana na Naibu Waziri wa Ufundishaji na Utafiti katika Wizara ya
Afya ya Jamii Cuba Dr.Marieta Cutino Redriguez akiongoza Ujumbe wa
Viongozi wa Afya Kutoka Cuba walipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein
akizungumza na Ujumbe wa Viongozi wa Afya kutoka Cuba unaoongozwa Naibu
Waziri wa Ufundishaji na Utafiti katika Wizara ya Afya ya Jamii Cuba
Dr.Marieta Cutino Redriguez akiwemo na Balozi wa Cuba Nchini Tanzania
Jorge Luis Lopez Tormo walipokutana na Rais Ikulu Mjini Zanzibar
leo.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
إرسال تعليق