BABA HAJI kama anavyojulikana mtaani kwa sasa au tuseme Baba Jamila
amezaliwa Oktoba 11,1980 katika kijiji cha Sakura wilaya ya Pangani
mkoani Tanga na kupewa jina la Haji Adam. Baba Haji yeye ni muigizaji
filamu. Anajulikana sana kwa sinema zake za Miss Bongo, Saa 24,Babra,
Sandra na inayotamba sasa hivi ya Jamila na Pete ya Ajabu.
Haji Adam kama nilivyosema amezaliwa kutoka kwa mama mkulima na baba dereva wa magari makubwa katika kijiji cha sakura akasomea hukohuko na kuja dar es salaam kuwafuata wazazi wake baada ya baba yake ambaye Bofya Hapa kuendelea

Post a Comment