Mdudu wa kuvunja mahusiano ya mastaa anaendelea kusambaa, sasa
ni zamu ya wanamuziki Jason Derulo na Jordin Sparks ambao nao wadaiwa
kuachana, vyanzo mbalimbali vimeithibitishia E-News!

Couple hiyo imekuwa kwenye mahusiano toka 2012.
Inadaiwa kuwa wawili hao wameachana vizuri na bado wataendelea kuwa marafiki wazuri

Couple hiyo imekuwa kwenye mahusiano toka 2012.
Inadaiwa kuwa wawili hao wameachana vizuri na bado wataendelea kuwa marafiki wazuri
إرسال تعليق