Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa Chadema,
Halima Mdee akizungumza na wajumbe wa mkutano huo baada ya kutangazwa matokeo
ya uchaguzi wa Bawacha.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa
Chadema Taifa, Halima Mdee (kulia) akipongezwa na wajumbe wa mkutano mkuu wa
Baraza la Wanawake wa Chadema. Wa pili kulia ni Makamu Mwenyekiti wa Baraza
hilo (Bara), Hawa Mwaifunga.
Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la
Wanawake wa Chadema wakiwa katika mkutano huo.
Makamu Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa
Chadema (Bara), Hawa Mwaifunga akilia kwa furaha baada ya kushinda nafasi hiyo
katika uchaguzi uliofanyika juzi.
Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake wa
Chadema Taifa, Halima Mdee (katikati), akiwa katika picha ya pamoja na Makamu
wake (Bara), Hawa Mwaifunga (kushoto) na Makamu Mwenyekiti (Zanzibar),
Hamida Abdallah.
Wajumbe wa mkutano Mkuu wa Baraza la Wanawake
Chadema Taifa (Bawacha), wakifungua shampeni kusherehekea ushindi wa Mwenyekiti
wa Baraza la Wanawake wa Chadema Taifa, Halima Mdee (kushoto) baada ya
kutangazwa kwa matokeo ya uchaguzi huo.Picha na Francis Dande
Post a Comment