John Shibuda: CHADEMA ni Gunia Tupu, Kasulumbai Amjibu Asema Shibuda ni Chizi

Kada wa CHADEMA John Shibuda amesema chama chake ni gunia tupu wanapiga kelele tu, amesema hayo wakati wa hotuba yake bungeni ambapo mbunge huyo wa Maswa alipewa nafasi ya kutoa hotuba na kukishambulia chama na UKAWA. 

Pia amesema CHADEMA amekipa talaka kwa jimbo lake kwa hiyo watafute mtu wa kugombea mwaka kesho. Kasulumbai ajibu na kusema Shibuda ni chizi anasubila kuvua nguo.

Post a Comment

Previous Post Next Post