Kada
wa CHADEMA John Shibuda amesema chama chake ni gunia tupu
wanapiga kelele tu, amesema hayo wakati wa hotuba yake bungeni
ambapo mbunge huyo wa Maswa alipewa nafasi ya kutoa hotuba na
kukishambulia chama na UKAWA.
Pia amesema CHADEMA amekipa talaka kwa jimbo lake kwa hiyo watafute mtu wa kugombea mwaka kesho. Kasulumbai ajibu na kusema Shibuda ni chizi anasubila kuvua nguo.
Pia amesema CHADEMA amekipa talaka kwa jimbo lake kwa hiyo watafute mtu wa kugombea mwaka kesho. Kasulumbai ajibu na kusema Shibuda ni chizi anasubila kuvua nguo.
.jpg)
إرسال تعليق