![]() |
| Julius Malema |
Hii leo Julius Malema kiongozi wa
chama cha Economic Freedom Front (EFF) nchini A-Kusini atafika mbele ya
Mahakama kuu ya Polokwane mkoa wa Limpopo kujibu mashitaka ya rushwa na
ufisadi yanayomkabili .
Malema anashitakiwa pia na wenziwe
watatu,ambao kwa pamoja wanakabiliwa na makosa ya kuhaulisha pesa katika
Kampuni mmoja inayodaiwa kuwa ni ya Julius Malema .
- Bbc

Post a Comment