Peter Msechu amesema kauli yake ya hivi karibuni kuwa kama wimbo
wake aliomshirikisha Amini ‘Nyota’ usingefanya vizuri angeacha muziki,
ilitaka kumponza kwakuwa alisema kwa utani tu na watu wakaichukulia kwa
uzito mkubwa.
Msechu amesema kuwa baada ya kutoa kauli hiyo alipokea simu
nyingi kutoka kwa watu waliotaka kujua kama kweli amedhamiria. “Unajua
niliongea vile kwakuwa Soma Zaidi Hapa

Post a Comment