Kauli kuhusiana na kuacha muziki ilitaka kunigharimu - Peter Msechu

Peter Msechu amesema kauli yake ya hivi karibuni kuwa kama wimbo wake aliomshirikisha Amini ‘Nyota’ usingefanya vizuri angeacha muziki, ilitaka kumponza kwakuwa alisema kwa utani tu na watu wakaichukulia kwa uzito mkubwa.
Msechu amesema kuwa baada ya kutoa kauli hiyo alipokea simu nyingi kutoka kwa watu waliotaka kujua kama kweli amedhamiria. “Unajua niliongea vile kwakuwa Soma Zaidi Hapa

Post a Comment

أحدث أقدم