Aliyekuwa Kocha mkuu wa Azam Acadamy Vivik Nagul amepata timu ya ligi kuu India.
Ikiwa ni siku kadhaa zimepita tangu Azam FC ipoteze mchezo wa ngao ya
Jamii mbele ya Yanga kwa kipigo cha bao 3-0, Kocha mkuu wa Azam Academy
Vivik Nagul ameachana na wanalamba lamba hao na kutimkia India kuinoa
klabu ya ligi kuu.
Akizungumza na mwandishi wetu Afisa habari wa Azam FC Jafari Idd
Maganga amesema __ Bofya Hapa kusoma zaidi

إرسال تعليق