Mcheza bora wa dunia: EA Sports wamemuweka nyota wa Barcelona, Lionel Messi kuwa namba moja katika michezo mipya ya FIFA 15
CRISTIANO Ronaldo alimgaragaza Lionel
Messi katika tuzo ya Ballon d'Or mapema mwaka huu,lakini nyota huyo wa
Barcelona amelipa kisasi kwa mpinzani wake huyo mkubwa kwa kushinda tuzo
nyingine.
Akiwa amepata pointi 93 kati ya 100,
messi amekuwa namba moja katika tuzo ya Soma Zaidi kwa kubofya Hapa.

إرسال تعليق