TIMU
ya taifa – Taifa Stars imesogeza mbele mechi ya watani wa jadi – Simba
na Yanga kufuatia kalenda ya Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu
(FIFA) ambayo itaikutanisha Stars na Benin Oktoba 12.
Awali
tarehe hiyo ndiyo ilikuwa imepangwa kwaajili ya mechi ya Simba na Yanga
kwenye uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam, lakini badala yake sasa Soma Zaidi Hapa

إرسال تعليق