Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (kushoto) akielekea
kufungua mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na watunza stoo wa Jeshi
la Polisi kutoka Mikoa na Vikosi vya Polisi kote Nchini unaofanyika
katika Chuo cha Polisi Moshi.Katikati ni Mkuu wa Wilaya ya Moshi
Dkt.Ibrahim Msengi na Mkuu wa Chuo cha Polisi Moshi, Matanga
Mbushi.(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
Baadhi
ya wajumbe wa mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na watunza stoo wa
Jeshi la Polisi wakiwa wanafuatilia hotuba ya Naibu Inspekta Jenerali
wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (hayupo pichani) wakati wa ufunguzi wa
mkutano huo unaofanyika katika Chuo cha Polisi Moshi.(Picha na Frank
Geofray-Jeshi la Polisi)
Naibu
Inspekta Jenerali wa Polisi, Abdulrahman Kaniki (katikati) akiteta
jambo na Mkuu wa Wilaya ya Moshi Dkt.Ibrahim Msengi wakati wa
ufunguziwa mkutano wa Maafisa wanadhimu, Wahasibu na watunza stoo wa
Jeshi la Polisi kutoka Mikoa na Vikosi vya Polisi kote Nchini
unaofanyika katika Chuo cha Polisi Moshi. Kushoto ni Kamishna wa fedha
na logistiki Clodwig Mtweve.
(Picha na Frank Geofray-Jeshi la Polisi)
إرسال تعليق