Hii
leo huko nchini Afrika kusini msikiti uliozusha utata baina ya waumini
wa dini ya Kiisilamu mjini Cape Town unatarajiwa kufunguliwa rasmi.
Wadhamini wa Msikiti huo wanasema itakuwa nyumba ya ibada kwa Watu wa
madhebu yote bila kumbagua mtu yoyote,huku baraza la waisilamu mjini
Cape Town likipinga kuwepo kwa msikiti huo kwa madai kuwa viongozi wa
msikiti huo wanapinga mafundisho ya mtume Mohd - Salalahu Alayhi
Wasalam.

إرسال تعليق