Ajali nyingine yatokea Mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.