Askari
polisi waliokuwa katika doria maeneo ya mtaa wa Mabatini Songea Mjini
wamenusurika kufa baada ya kurushiwa kitu kinachosemekana ni bomu la
kutengenezwa kwa mkono majira ya saa 2 usiku huu mmoja akiwa ni wa
kiume na mwingine akiwa ni wakike. Tarifa kamili tutawaletea endelea
kufatilia
Chanzo: demasho.com
Chanzo: demasho.com
إرسال تعليق