Rais Kikwete aagana na Balozi wa Ufaransa, pia amuaga Jaji wa Mahakama ya Afrika

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza ikulu jijini Dar es Salaam jana na Jaji Sophia Akkufo Rais wa Mahakama ya Haki za Binadamu ya Afrika(AFHPR) aliyemaliza muda wake(picha na Freddy Maro). D92A0120 
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na balozi wa Ufaransa aliyemaliza muda wake nchini Mhe.Marcel Escure wakati balozi huyo alipokwenda kumuaga ikulu jijini Dar es Salaam jana.

Post a Comment

Previous Post Next Post