LIGI kuu mbalimbali barani Ulaya
zitaendelea kesho, ambapo mechi kubwa ni ile ya ligi kuu soka nchini
England baina ya wenyeji Arsenal na Manchester City itakayopigwa mapema
uwanja wa Emirates mjini London
Hapa chini ni ratiba nzima ya ligi ya England (EPL), Ujerumani (Bundesliga), Ufaransa (Ligue 1) na Italia (Seria A)

إرسال تعليق