Sikiliza Hotuba ya Rais Jakaya Kikwete Kwenye Mkutano wa Tabia nchi, Umoja wa Mataifa


Photo Credits: UN Photo/Ryan Brown '''''
Septemba 23, 2014, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Dk Jakaya Kikwete, ambaye pia ni kiongozi wa kamati ya viongozi wa nchi na serikali za Afrika kuhusu mabadiliko ya tabianchi alihutubia kikao kilichoandaliwa na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Ban Kin Moon kujadili changamoto za mabadiliko ya tabianchi duniani. 

Hii ni hotuba yake, kwa hisani ya Umoja wa Mataifa

Post a Comment

أحدث أقدم