Tamasha la Serengeti Fiesta Laacha Gumzo Mkoani Morogoro



Baba Levo na Peter Msechu wakipagawisha jukwaani  kwenye tamasha la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.


 Mmoja wa mashabiki aliyekuwa kwenye Tamasha la Fiesta akishangilia huku akiwa amebebwa na mwenzake.


  Umati uliyokuwa umefurika kwenye Tamasha la  Fiesta 2014, ukishangilia moja ya burudani zilizokuwa zikitolewa kwenye Uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro. 


 Makomando wakiwajibika jukwaani hapo.


 Ommy Dimpoz akiimba na mmoja wa mashabiki aliyekuwa akiimba kwenye nafasi ya Vanessa Mdee katika wimbo wa Me & U.


Fid Q akifanya yake kwenye jukwaa la Fiesta ndani ya uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro.


 Mashabiki wakishangilia .Picha: Michuzi

Post a Comment

أحدث أقدم