Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la Katiba, Samia Suluhu akiongoza kikao cha Bunge hilo Septemba 27, 2014.
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif 
Idd wakiteta Bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Stephene Wasira akichangia Bungeni mJini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mwenyekiti wa Kamati ya Uandishi ya Bunge Maalum la Katiba, Andrew Chenge akichangia, bungeni mjini Dodoma, Septemba 27, 2014.
Mwenyekiti
 wa Bunge Maalum la Katiba Samuel Sitta akiteta na Mjumbe wa Bunge hilo,
 Kingunge Ngombale Mwiru, bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, Mwanasheria Mkuu 
wa Serikali, Jaji Frederick Werema (kulia) na Hamad Rashid (kushoto) 
wakiteta bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Waziri
 Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Mark 
Mwandosya kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 27, 2014.
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba, John Momose Cheyo akichangia bungeni mjini Dodoma Septemba Septemba 27, 2014.
Wajumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kushoto) na profesa
 Mark Mwandosya wakifuatilia mjadala bungeni mjini Dodoma Septemba 27, 
2014.
Mjumbe
 wa Bunge Maalum la Katiba, Kingunge Ngombale Mwiru (kulia) akimpongeza 
mjumbe mwenzake, John Cheyo ambaye alitoa mchango wa kusisimua bungeni 
Septemba 29, 2014. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Post a Comment