Habari kwa kina itakujia baadae.
Habari
zilizotufikia hivi punde zinaarifu kuwa Polisi wamevamia ofisi
za CHADEMA wilaya ya Morogoro na kuwakamata Viongozi
waandamizi Watano wa chama hicho waliokuwa wakijiandaa kuongoza
maandamano ya kupinga Bunge Maalumu la Katiba.

Post a Comment