Update: Polisi Wavamia Ofisi za CHADEMA Mkoani Morogoro


Habari  kwa  kina  itakujia  baadae.
Habari  zilizotufikia  hivi  punde  zinaarifu  kuwa  Polisi wamevamia    ofisi  za  CHADEMA  wilaya  ya  Morogoro  na  kuwakamata  Viongozi  waandamizi  Watano  wa  chama  hicho  waliokuwa  wakijiandaa  kuongoza  maandamano  ya  kupinga  Bunge  Maalumu  la  Katiba.

Post a Comment

أحدث أقدم