Waziri wa Ujenzi Dkt. John Magufuli akiongea na wajumbe mbalimbali
waliofika katika uzinduzi wa kivuko cha kigamboni leo jijini Dar es
Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya
kurasini ,ambacho kinatarajiwa kuanza kutumika rasmi alhamisi wiki hii.
Mtendaji
Mkuu Temesa Injinia Marceline Magesa akitoa neno la shukrani kwa Jeshi
la Wanamaji waliwezesha matengenezo ya Mv Kigamboni leo jijini Dar es
Salaam ambapo kinatarajiwa kuanza kutumiwa na wananchi wiki hii.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati mwenye suti nyeusi) akielekea
katika eneo ambalo kivuko cha MV Kigamboni kilipo kwa ajili ya ukaguzi
wa kazi iliyofanywa na wahandisi wa Jeshi la Wanamaji leo jijini Dar es
Salaam.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( kushoto) na Katibu Mkuu wa Ujenzi
Injinia Mussa Iyombe(kulia) wakisikiliza kwa makini maelekezo yaliyokuwa
yakitolewa katika ufunguzi wa kivuko cha Mv Kigamboni leo jijini Dar es
Salaam kinachofanyiwa matenganezo na Jeshi la Wanamaji maeneo ya
kurasini na kinatarajiwa kuanza kutumika wiki hii.
Waziri
wa Ujenzi Dkt. John Magufuli ( katikati) akipata maelekezo kutoka kwa
Msimamizi wa matengenezo Luten Kanali Abel Gwanafyo (Kushoto), kulia ni
Mkuu wa Jeshi nla Maji Brigadia Jenerali Rostian Laswai wakati wa
ufunguzi wa kivuko hicho leo jijini Dar es Salaam ,amabapo kinatarajiwa
kuanza kutumika wiki hii kurahisisha usafiri kwa watu wa Kigamboni.

Kivuko
cha Mv Kigamboni kinavyoonekana kwa ndani, kinatarajiwa kuanza kutumika
siku ya alhamisi baada ya matengenezo yalifanywa na Jeshi la Wanamaji
kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.
Kivuko cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa mbele na ubavuni ,
kikiwa katika hatua za mwisho tayari kwa kuanza kutumiwa na wananchi
siku ya alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa na Jeshi la Wanamaji
kwa mda wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka
huu.( Picha na Lorietha Laurenc eMaelezo)
Kivuko
cha Mv Kigamboni kinavyoonekana upande wa mbele na ubavuni , kikiwa
katika hatua za mwisho tayari kwa kuanza kutumiwa na wananchi siku ya
alhamisi baada ya matengenezo yaliofanywa na Jeshi la Wanamaji kwa mda
wa wiki tatu tangu kilipoaacha kufanya kazi Agosti 14 mwaka huu.( Picha
na Lorietha Laurenc eMaelezo)
Post a Comment