| Picha ya kifaru kikiwa kimeivaa nyumba na kusababisha vifo. |
Ajali nyingine yatokea Mtwara na kuua wanajeshi watatu na raia mmoja baada ya kifaru kujaribu kukwepa lori la mabomba ya gesi na kuivaa nyumba iliyokuwa pembezoni.Chanzo:- JF

Post a Comment