Video: Utaipenda collabo hii, Victoria Kimani na Mr Flavour #CokeStudio

Video: Utaipenda collabo hii, Victoria Kimani na Mr Flavour #CokeStudio Victoria Kimani kutoka Kenya na Mr Flavour kutoka Nigeria walitumbuiza kwenye Jukwaa la Coke Studio Africa msimu wa pili unaofanyika Nairobi, Kenya na kufanya fusion ya wimbo wa Mr Flavour ‘Ada Ada’.

Coke Studio Africa inawakutanisha wasanii wa Afrika Mashariki, Magharibi na Afrika ya Kati na kuwapa nafasi ya kuimba LIVE nyimbo zao kwa kushirikiana. Kutoka Tanzania wapo wasanii kama Joh Makini, Vannessa Mdee, Shaa na Diamond wamefanya collabo na wasanii wengine wakubwa.

Unaweza kuiangalia Coke Studio kupitia TBC1 kila Jumapili saa tatu usiku, na hivi punde utaanza kuisikia na kushiriki kwa kuchangia kupitia 100.5 Times Fm Radio.


Post a Comment

أحدث أقدم