
Umoja wa mataifa umesambaza maelfu ya walinda amani huko Syria katika eneo la Golan ambalo linamilikiwa na Israel.
Hatua
hiyo inafuatia wiki mbili baada ya wapiganaji walioko mstari wa mbele
huko Nusra,ambao ni waasi wa Syria kutoka kundi la Al-Qaeda, ambao
tayari wameshateka walinda amani wapatao arobaini wa umoja wa mataifa na
inaarifiwa kuwa walinda amani hao wamekwisha achiliwa huru.Mwanaharakati wa upinzani nchini Syria ameeleza kuwa kikosi cha waasi kinashikilia eneo lote la Golani nchini Syria.
إرسال تعليق