Wananchi
wa Manzese ambao ni wanachama wa chama cha democrasia na maendeleo
CHADEMA leo wamefanya maandamano ya kuendelea kupinga kile wanachokiita
ni wizi unaoendelea ndani ya bunge maalum la katiba ikiwa ni mwendelezo
wa kutimiza tamko la mkutano mkuu la chama hicho la kufanya maandamano
nchi nzima kupinga mchakato huo |
إرسال تعليق