| Pamoja na Wananchi kutakiwa kuweka fedha zao benki, bado kuna Wananchi
wana tabia ya kuweka fedha katika mazingira yasio salama. Pichani ni
baadhi ya fedha zilizoharibika kwa kuwekwa katika mazingira yasio salama
huko Kisiwani Pemba. (picha: Benki ya PBZ via ZanziNews) |
Post a Comment