Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akiwasili Makao Makuu
ya Jeshi la Magereza tayari kwa uzinduzi rasmi wa TOVUTI ya Jeshi la
Magereza(wa kwanza kushoto) ni Kamishna Jenerali wa Magereza, John
Casmir Minja akisalimiana na Mhe. Waziri(wa pili kulia) ni Kamishna wa
Huduma za Urekebishaji, Deonice Chamulesile(kushoto) ni Kamishna wa
Sheria na Uendeshaji wa Magereza, Dkt. Juma Malewa.
Kamishna
Jenerali wa Magereza Nchini, John Casmir Minja(aliyesimama) akitoa
maelezo mafupi kabla ya uzinduzi rasmi wa TOVUTI ya Jeshi la Magereza
leo Septemba 15, 2014 katika Viwanja vya Ofisi ya Makao Makuu ya Jeshi
la Magereza.
Waziri
wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akitoa hotuba kwenye
hafla ya uzinduzi wa TOVUTI ya Jeshi la Magereza, leo Septemba 15, 2014
Makao Makuu ya Jeshi la Magereza, Jijini Dar es Salaam.

wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Mathias Chikawe akikata utepe kabla ya
kuzindua rasmi TOVUTI ya Jeshi la Magereza inayopatikana kupitia annuani
ya www.magereza.go.tz(wa pili kulia) ni Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza, John Casmir Minja.
Muonekano wa Mwanzo wa TOVUTI ya Jeshi la Magereza inayopatikana kupitia annuani ya www.magereza.go.tz(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Muonekano wa Mwanzo wa TOVUTI ya Jeshi la Magereza inayopatikana kupitia annuani ya www.magereza.go.tz(Picha zote na Lucas Mboje wa Jeshi la Magereza).
Post a Comment