Weusi kuachia video tatu ndani ya wiki hizi mbili, Wampeleka director Mkenya mitaa waliozaliwa

Kundi la Weusi linaloundwa na Joh Makini, G Nako, Nikki wa Pili, Bonta na Lord Eyez liko mbioni kuzitoa video tatu za nyimbo zao ndani ya wiki hizi mbili kuanzia leo.
Akiongea na tovuti ya Times Fm, msemaji wa kundi hilo Nikki wa Pili amesema kuwa Soma Zaidi Hapa

Post a Comment

Previous Post Next Post