
Kumetokea ajali mida hii maeneo ya Jeti Lumo mwisho wa lami ambapo gari kubwa la mizigo limeangua daladala iliyokuwa kituoni.
Ajali
hiyo imetokea wakati gari hilo semi-trailer ikikata kona pale mwisho wa
lami ambapo kontena lilianguka na kutua juu ya bodi ya daladala.
Mtoa
taarifa wangu amesema hali ni mbaya na bado hajajua idadi ya vifo na
majeruhi ujumla.Pia gari imepondeka sana jambo ambalo linaashiria hatari
zaidi.
Kuna
gari la kunyanyua makontena limeshafika pale lakini limeshindwa kutoa
msaada wa uhakika kutokana na kuzidiwa uzito na kontena ambapo
likijaribu kunyanyua kontena ushuka chini na kuzidi kuongeza maafa.
habari kamili inawaijia hivi punde
HABARI NA MDAU WETU GOODLUCK
ANDREW
إرسال تعليق