ANUSURIKA KIFO UBUNGO

Pikipiki iliyopata ajali ikiwa chini.
Umati wa watu ukishuhudia ajali hiyo.
Daladala iliyojitolea kumsaidia mjeruhiwa.
Kondakta wa daladala akiendesha pikipiki ya majeruhi.
KAMERA ya GPL imenasa umati wa watu wakiwa wamemzunguka mwendesha pikipiki, maeneo ya kona ya kuingia stendi mpya ya Simu 2000, maeneo ya Ubungo jijini Dar es Salaam, ambaye alipata ajali na kuumia sehemu kadhaa za mwili wake.
(Habari/Picha:Gabriel Ng’osha/GPL)

Post a Comment

Previous Post Next Post