Bajaj ikiwa na ujumbe wenye kuhamasisha watu kutokata tamaa.
MTANDAO wetu leo ‘umeifuma’ Bajaj yenye wito murua
kwa walimwengu wenye kukata tamaa. Wito wenyewe ulioandikwa kwenye
chombo hicho cha moto maeneo ya Kinondoni, jijini Dar es Salaam ni:
“ONYO: NI MARUFUKU KUKATA TAMAA..!”
Post a Comment