BARAZA LA MITIHANI LATOA TAARIFA YA KAZI ZAKE

Mkuu wa Idara ya Fedha na Utawala wa Necta, Daniel Mafie, akizungumza jambo na wanahabari (hawapo pichani).Sehemu ya taarifa ya  kazi za Necta.
BARAZA la Mitihani la Tanzania (Necta) leo limetoa taarifa ya kazi zake kwa umma wakati Katibu Mtendaji wake, Dkt Charles Msonde, alipokutana na wanahabari jijini Dar es Salaam.
 (Habari/Picha na: Gabriel Ng’osha/GPL)

Post a Comment

Previous Post Next Post